Taarifa rasmi, mikutano, mafunzo na maandalizi ya mashindano ya Wizara, Idara na Wakala za Serikali.
Viongozi wa Kamati ya Utendaji ya SHIMIWI wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, kwa maandalizi ya michezo ya SHIMIWI 2026 inayotarajiwa kufanyika mkoani Kilimanjaro.
Soma zaidi →
Watendaji Wakuu wa Wizara na taasisi za umma wametakiwa kuweka msisitizo kwa watumishi wa umma kushiriki kwenye michezo mbalimbali, pamoja na mazoezi…
Soma zaidi →
Watendaji Wakuu wa ofisi mbalimbali za serikali wametakiwa kutenga siku maalum kwa ajili ya mazoezi kwa wafanyakazi wao mahala pa kazi, ili kujenga…
Soma zaidi →
Serikali imewaagiza waajiri wote wa taasisi za umma kutenga bajeti ya michezo kila mwaka na kuwaruhusu watumishi wao kushiriki kikamilifu Michezo ya…
Soma zaidi →
Mkutano Mkuu Maalum wa SHIMIWI umefanyika kwa mafanikio makubwa mkoani Singida ukiongozwa na Mwenyekiti Daniel Mwalusamba pamoja na Katibu Mkuu Alex…
Soma zaidi →
Washiriki wa mafunzo ya Viongozi, Walimu wa Michezo, Madaktari, Waratibu na Maafisa Michezo walishiriki mafunzo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa…
Soma zaidi →Matukio ya hivi karibuni kwa picha.
Video na picha za matukio kama zilivyochapishwa na SHIMIWI.