Kuna aina mbili za usajili kwenye mfumo huu. Chagua inayokuhusu ili uelekezwe kwenye fomu sahihi.
Wewe ni mtumishi wa umma unayetaka kucheza kwa niaba ya Wizara, Idara au Taasisi yako. Utajisajili binafsi na kuchagua taasisi yako.
Wewe ni Meneja / Mratibu wa michezo unayesajili taasisi nzima ili iwe na timu, wachezaji na kushiriki mashindano ya SHIMIWI.