
Picha za matukio mbalimbali katika Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara, Wakala za Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) lililofanyika tarehe 15 Agosti 2026 kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya John Merlini jijini Dodoma.