MwanzoMatukio11–13 Desemba 2025
Tukio · 11–13 Desemba 2025

Mkutano Mkuu wa Mwaka wa SHIMIWI 2025

Picha za matukio mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa SHIMIWI 2025 uliofanyika tarehe 11–13 Desemba 2025 kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, ukiwakutanisha wajumbe kutoka Wizara, Idara na Wakala za Serikali nchini.

Tarehe 11–13 Desemba 2025
Mahali Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
Picha 30 — bonyeza picha kuiona kwa ukubwa kamili
📷 Picha 30 · Mkutano Mkuu wa Mwaka wa SHIMIWI 2025
← Matukio yote Habari →
Matukio Mengine
Tazama Pia