MwanzoMatukioSeptemba 2025
Tukio · Septemba 2025

Udhamini kutoka Benki ya NMB na Smart Sport — Michezo ya 2025

SHIMIWI na klabu zake wanachama, katika michezo ya mwaka 2025 iliyofanyika Mwanza, walipata udhamini kutoka Benki ya NMB na duka la vifaa vya michezo la Smart Sport — ikiwemo makabidhiano ya jezi na vifaa vya michezo.

Tarehe Septemba 2025
Mahali Mwanza
Picha 12 — bonyeza picha kuiona kwa ukubwa kamili
📷 Picha 12 · Udhamini kutoka Benki ya NMB na Smart Sport — Michezo ya 2025
← Matukio yote Habari →
Matukio Mengine
Tazama Pia